Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Naomba waongeze hawa warembo pls cute eyes na Carleen
 
OK Ila nilichokianzisha kuleta tija kama wadau wakiunga mkono na pia tunaweza kuanzisha na mashindano mengine hapa hapa JF yenye tija Kama hili
 
Niko serious watapa zawadi ambazo zimekuwa mentioned
Tunarudi palepale! Picha za washindani ziko wapi? Wagombea wa vyama vya siasa wenyewe picha zao zinakuwa kwenye fomu sembuse mamiss
 
Jamani ehh wangapi wanataka si mnawajua niliowataja au mpaka picha tena
Basi wakikubali tunaweka
 
Pigeni kura sasa nyie mmeanza kupiga ma story tena na washariki hawajaanza kusogea bado
 
Mi tayari mshindi ninae.. mkitaka nimtaje semeni..😜
 
Kuna mtu anapenda sana shkamoo yangu umemuweka kwenye list...

ningeshangaa sana kama angekosekana nadhani hii tuzo atapita nayo tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…