Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Yaani unaweza Ukaingia jf then ukakosa topic inayokushawishi kuchangia
 
Mkuu hii list yako haijakamilika kama huyu Goddess hayupo! Halafu Bibi Kama faiza yupo.. itakuwa umeshake ubongo wewe..😂
 
Naam kabisa mkuu haswaa kwa sisi ambao huwa tunaitimia hii platform kama sehemu ya kuondoa stress huwa hatuna namna zaidi ya kuchangia tu ... Ndio maana wengine tumekimbilia twitter
mda mwingine maisha yanahitaji relaxation mkuu, hizi ndo relaxation ambazo huondoa stress
 
Hivi wee Bwana JAJI unamuwekaje kwenye kinyang'anyiro mtu kama

Asha boko unampambanisha na Hamissa Mobetto ukitegemea Asha boko ashinde?

kwani nini maana ya Miss? maana hapo naona umechanganya vibonge/vimbaumbau/tukunyema/nk

Acha tia watu ktk majaribu na dhambi za kudhamiria,ondoa hao machineneeee bakiza Vipotable tu.
 
Kwanye hiyo list nimeona mademu wa 3,wanawake wa 5 na wasimbe 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…