Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Aaah wewe hizo mpesa tumien kwa mambo ya maana wakuu.

Anonymous hajianiki
Weka basi tukuone murembo.. unaweza tetesha m pesa za watu zikatoa tuchenchichenchi..πŸ˜‰
 
Aaah wewe hizo mpesa tumien kwa mambo ya maana wakuu.

Anonymous hajianiki
Sawa ila usiache kujichora hayo madude angalau yanakustiri inaoneInao walau yaliyomo yamo hata kama ni ni membamba lkn lkn yamo..πŸ˜‚
 
Mimi Karucee Kama Karucee hapana.

Thanks though but I'll pass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…