Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Aaah wewe hizo mpesa tumien kwa mambo ya maana wakuu.

Anonymous hajianiki
Weka basi tukuone murembo.. unaweza tetesha m pesa za watu zikatoa tuchenchichenchi..😉
 
Aaah wewe hizo mpesa tumien kwa mambo ya maana wakuu.

Anonymous hajianiki
Sawa ila usiache kujichora hayo madude angalau yanakustiri inaoneInao walau yaliyomo yamo hata kama ni ni membamba lkn lkn yamo..😂
 
Mimi Karucee Kama Karucee hapana.

Thanks though but I'll pass.
 
Back
Top Bottom