Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Kufuatia maoni ya wadau mbalimbali. The Youths Forum inakuletea mashindano maalumu kwa ajili ya Walimbwende hapa hapa JAMII FORUMS..

THIS IS SEASON 1..
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura mrembo/miss unayemkubali kisha kamati itakaa na kuja na mrejesho.

Mwisho wa siku waremb/miss wetu watapewa zawadi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kama vile free vouchers,M-Pesa balance recharge na nyingine nyingi..

List Yetu Ina washiriki 15..
Ila unaruhusiwa kuongeza idadi ya washiriki na Ku suggest iweje..

Joanah
Depal
Chakorii
Lenie
Numbisa
CreditAnalyst
Miss Renee
lliedie
financial services
cariha
Joannah
moneytalk
Culture Me
yna2
Khantwe
FaizaFoxy
Kasie
Money Penny
Carleen
cute eyes
Saint Anne
Madame S
miss chagga
Nifah
Jane Lowassa
Karucee
Shunie

Hapa najua mtaomba picha Ila baada ya matokeo ya jumla kutoka mtaona picha za washiriki wote.

Piga kura kwa mshiriki wako na akayepata kura nyingi ataibuka mshindi.

Kura zinapigwa kwa kutag jina la mshiriki tags nyingi zaidi ndio zitaonesha mshindi.

Pia unaweza comment kwanini umempigia kura mshiriki husika
 
Nitapigaje kura ilihali simjui mgombea ninayemtaka? Weka picha zao la sivyo huu ni utoto wa jamiiforums!
Wengine hapo ni mabonge wenye kilo zaidi ya 100 alafu unawaita miss
Hii ni special editon ya Jamii Forums ina masharti tofauti
 
Ila hii Jamiiforums ya hiki kizazi imepoa saana.

Hadi mods wamepoa..ban hakuna.

Vijana hamshushi nondo kwenye nyuzi...basi nikajiambia labda mnaloweza kutongozana.

Kutongozana nako hamwezi. Sasa mnaloweza ni nini nyie?

Jukwaa limepoa hata hakuna pakupumzikia.
 
Back
Top Bottom