Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Mashindano Ya Miss Jamii Forums. Hakika ni warembo

Kufuatia maoni ya wadau mbalimbali.
The Youths Forum inakuletea mashindano maalumu kwa ajili ya Walimbwende hapa hapa JAMII FORUMS..

THIS IS SEASON 1..
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura mrembo/miss unayemkubali kisha kamati itakaa na kuja na mrejesho.

Mwisho wa siku waremb/miss wetu watapewa zawadi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kama vile free vouchers,M-Pesa balance recharge na nyingine nyingi....

List Yetu Ina washiriki 15..
Ila unaruhusiwa kuongeza idadi ya washiriki na Ku suggest iweje..

Joanah
Depal
Chakorii
Lenie
Numbisa
CreditAnalyst
Miss Renee
lliedie
financial services
cariha
Joannah
moneytalk
Culture Me
yna2
Khantwe
FaizaFoxy
Kasie
Money Penny

Hapa najua mtaomba picha Ila baada ya matokeo ya jumla kutoka mtaona picha za washiriki wote.

Piga kura kwa mshiriki wako na akayepata kura nyingi ataibuka mshindi.

Kura zinapigwa kwa kutag jina la mshiriki tags nyingi zaidi ndio zitaonesha mshindi.

Pia unaweza comment kwanini umempigia kura mshiriki husika
Naomba waongeze hawa warembo pls cute eyes na Carleen
 
Hapana! Mleta mada alitakiwa kuwasiliana na wahusika kabla ya kuleta bandiko hili ili apate picha zao halisi ili tupige kura na baada ya wiki or mwezi tupige mahesabu tujue nani mshindi ili apewe zawadi zake.

Usiidharau jamiiforums mshindi wa kwanza anaibuka na mshiko wa maana
OK Ila nilichokianzisha kuleta tija kama wadau wakiunga mkono na pia tunaweza kuanzisha na mashindano mengine hapa hapa JF yenye tija Kama hili
 
Jamani ehh wangapi wanataka si mnawajua niliowataja au mpaka picha tena
Basi wakikubali tunaweka
 
Pigeni kura sasa nyie mmeanza kupiga ma story tena na washariki hawajaanza kusogea bado
 
Kuna mtu anapenda sana shkamoo yangu umemuweka kwenye list...

ningeshangaa sana kama angekosekana nadhani hii tuzo atapita nayo tu...
 
Back
Top Bottom