Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Asante ❤ na kwako piaHahahahaha..hakika utashinda Kipenzi..nikutakie usiku mwema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ❤ na kwako piaHahahahaha..hakika utashinda Kipenzi..nikutakie usiku mwema.
SEMA..Kaka mkubwa
Imeisha hiyo😅😅🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂Piga kura kwa wingi
Nimeona Mpesa pale kwa mleta mada 🤣
Wala huna haja ya kutishika, naona mtanange huu uishe tu na wewe uwe mshindi..Unanitisha mkuu
Kiroho kinadundaWala huna haja ya kutishika, naona mtanange huu uishe tu na wewe uwe mshindi..
Kufuatia maoni ya wadau mbalimbali.
The Youths Forum inakuletea mashindano maalumu kwa ajili ya Walimbwende hapa hapa JAMII FORUMS..
THIS IS SEASON 1..
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura mrembo/miss unayemkubali kisha kamati itakaa na kuja na mrejesho.
Mwisho wa siku waremb/miss wetu watapewa zawadi kwa washindi wa kwanza hadi wa tatu kama vile free vouchers,M-Pesa balance recharge na nyingine nyingi....
List Yetu Ina washiriki 15..
Ila unaruhusiwa kuongeza idadi ya washiriki na Ku suggest iweje..
Joanah
Depal
Chakorii
Lenie
Numbisa
CreditAnalyst
Miss Renee
lliedie
financial services
cariha
Joannah
moneytalk
Culture Me
yna2
Khantwe
FaizaFoxy
Kasie
Money Penny
Carleen
cute eyes
Saint Anne
Madame S
miss chagga
Nifah
Hapa najua mtaomba picha Ila baada ya matokeo ya jumla kutoka mtaona picha za washiriki wote.
Piga kura kwa mshiriki wako na akayepata kura nyingi ataibuka mshindi.
Kura zinapigwa kwa kutag jina la mshiriki tags nyingi zaidi ndio zitaonesha mshindi.
Pia unaweza comment kwanini umempigia kura mshiriki husika
Tuliza Mori, kutokujiamini kutakufanya unyang'anywe taji la ushindi..Kiroho kinadunda
[emoji1787][emoji1787]nipatien hizo zawadi basi jmni
Ndio maana malaika wanachorwa wazungu imagine malaika achorwe Kama mama ndalichakoThe one and only Mother of dragons, Queen of westeros,Khaleese of great sea. The Unburnt and breaker of my Heart and soul.
Queen Daenerys of House Targeryian
View attachment 1585076
Imeisha hiyo😅😅🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂
Haaaaa.... kwakuwa ni kigalula[emoji1787]Aisee [emoji3][emoji3] hadi faiza ndani, we kweli zaga