Mashindano ya MissJF 2023 ni ubatili

Mashindano ya MissJF 2023 ni ubatili

1. Una wivu.
Dhidi ya mwenye Uzi au dhidi ya "warembo".
2. Ni wewe na Simps wachache ndio mnachukulia serious, na hii ni namna yako ya harakati.

Hayo mambo si utani? Ni wewe ndio unayaita "mashindano"
Kumekuwapo na Nyuzi za aina hiyo almost kila mwezi.
Why hili?
1. Una ID yako ulitamani ipendekezwe haijapendekezwa?
2. Unataka kuonekana una busara kwenye "chit chat" ?
Unajua maana ya simps?
Nimemtongoza mtu kwenye Uzi huu?
Wivu upi , unajua shindano la U-Miss wewe?
Niambie shindano la U-Miss ambalo halina vigezo wala mchujo . Ukijibu nitakubali kuwa mimi ni simp.
Abadilishe jina , acha kutetea vitu vya ajabu.
 
Imeandikwa kwenye jukwaa la mahusiano, na sio chit-chats, mkuu umelewa ama?
 
Unajua maana ya simps?
Nimemtongoza mtu kwenye Uzi huu?
Wivu upi , unajua shindano la U-Miss wewe?
Niambie shindano la U-Miss ambalo halina vigezo wala mchujo . Ukijibu nitakubali kuwa mimi ni simp.
Abadilishe jina , acha kutetea vitu vya ajabu.
Kumbe Simp ni kutongoza?
Hujioni unachofanya hapo.......
Wakati unatumia neno " Udhalilishwaji" na maneno kama hayo lengo lake ni nini?
Kaza mkuu !!
 
Kumbe Simp ni kutongoza?
Hujioni unachofanya hapo.......
Wakati unatumia neno " Udhalilishwaji" na maneno kama hayo lengo lake ni nini?
Kaza mkuu !!
Simp maana yake ni nini? So wewe unaona watu wadhalilishwe kisa ujinga ujinga tu?
Mimi sijalamba wala kuita jina la mwanamke humu, nimesema wanawake, nimegeneralize, usimp unatoka wapi? Umeona nimequote jina la kike hapo?
 
Inabadilisha nini kuwa hilo sio shindano rasmi, ni watu tu Wameamua kupoteza mda?
Kupoteza muda bila kuwa na vigezo? This is madness.
Ndo maana nikakuuliza, unajua maana ya shindano la U-Miss? Umekwepa kunijibu, kama shindano hili linafanana na U-Miss, basi nitajiita simp.
 
"Kupoteza mda bila kuwa na Vigezo"

Unasoma unachoandika kweli kabla ya kushare?
Sikiliza mkuu, jina ndo tatizo, haiwezekani ukaita shindano la U-Miss bila kuwa na vigezo, ni mjinga peke yake ndo hufanya hivyo. Hata kama ni utani, ni jambo ambalo haliwezekani kabisa.
 
Back
Top Bottom