Mashindano ya MissJF 2023 ni ubatili

Sikiliza mkuu, jina ndo tatizo, haiwezekani ukaita shindano la U-Miss bila kuwa na vigezo, ni mjinga peke yake ndo hufanya hivyo. Hata kama ni utani, ni jambo ambalo haliwezekani kabisa.
HIi ni ya mwisho mkuu, maana kunako elekea Na mimi ntaonekana tupo sawa.

Huwezi kuwapangia watu namna ya kufurahi humu Ndani, mradi tu wanafuata Sheria za JF.

Pretending like unawaonea huruma wanawake wanadhalilishwa haitokusaidia Chochote.
Ahsante !!
 
Kumbe wewe point ya mwisho ndo inakuuma, kaka , inaonekana wanawake walikuumiza mno. Hata kama wanawake wanaumiza wanaume kwenye mahusiano, haimaanishi uanze kuwasengeny'a na kuwadhalilisha, be a man bro, unamove on maisha yanaendelea. Ni kweli siwezi mpangia mtu cha kuandika, wao wanatumia uhuru wao na mimi nimetumia uhuru wangu kupinga, kosa liko wapi?
 
Aliyeanzisha ile thread alizingua. Na wewe uliyemjibu ndio umezingua kabisaaa
 
Wanawake wanapenda attention, wamefurahi. Mleta uzi nae huenda ni utani au serious, huwezi jua. Humu kuna mbinu nyingi sana.
 
Shindano lolote ambalo BICHWA KOMWE hajashinda, hilo ni shindano BATILI MUFILISI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…