Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Haka ka nchi kanausela mwingi wakuu, imagine kurusha disc inahitaji kipaji Gani kama sio bahati tu na nguvu zako.

Mchezo wa kuruka Wala sio kipaji kile ni anatafutwa Mtu mwenyw phisikia ya namna hio anapewa training anakiwasha.
 
tuanze kuwekeza kwenye facility za michezo. ikiwezekana mashuleni.
 
Haka ka nchi kanausela mwingi wakuu, imagine kurusha disc inahitaji kipaji Gani kama sio bahati tu na nguvu zako.

Mchezo wa kuruka Wala sio kipaji kile ni anatafutwa Mtu mwenyw phisikia ya namna hio anapewa training anakiwasha.
training ya muda gani?
 
Nimeifuatilia woman and man walking 20km aisee sio nyepesi kama wanavyoiona.. nahisi kama sio mzoefu miguu lazima iume haswa nyayo, kuna walioshindwa kumaliza
mkuu waafrica sisi kutwa huwa tunajisifu tunanguvu, lakini hata kwenye michezo hiyo ya nguvu huwaga hatuonekani.

kukimbia tupo fresh ila ukija kwetu unakuta hata washiriki 10 hatuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…