atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,786
- 3,522
Nitafuatiliakesho majira ya saa 6 mchana . mtanzania ataogelea : Women Swimming 50M Freestyle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitafuatiliakesho majira ya saa 6 mchana . mtanzania ataogelea : Women Swimming 50M Freestyle
Haya yanawezekana kabisa kufanyika tena endapo tu kama tungekuwa na working government with minimal corruption itches plus watu wenye maono.Tanzania hatujawahi kuwa serious na michezo kuifanya kuwa kama . Tungeanza mashuleni kufanya sehemu ya elimu kwa maana shule lazima iwe na facility ya michezo. Mashindano ya mashule ingerudishwa kwa nguvu michezo yote na kuwe na ufuatiliaji wa vipaji. Haya yote yanawezekana kama tuko tayari ku invest.
Mtanzania amemaliza wa mwisho…kesho majira ya saa 6 mchana . mtanzania ataogelea : Women Swimming 50M Freestyle
mkuu nimecheki matokeo kwenye mtandao nimesikitia dogo katuangusha, vipi ulichekli live?Mtanzania amemaliza wa mwisho…
naam mkuu hawa wenzetu michezo mingi wengi wanaicheza kuanzia ngazi ya shule huko, na hii huwa tunashuhudia hata kwenye hizi movies zaoHaya yanawezekana kabisa kufanyika tena endapo tu kama tungekuwa na working government with minimal corruption itches plus watu wenye maono.
Ukienda Uganda wizara yao ya michezo huwa inachukua angalau 15% ya bajeti ya taifa na pesa yote hiyo inaenda kwenye michezo hususani mashuleni na vyuoni kwa maana ya kuboresha miundo mbinu pamoja na kufadhiri mashindano mbalu mbali....
...na wako serious kabisa kwenye utekelezaji na imewasaidia pakubwa sana leo hii wana wanamichezo wengi sana wanaonendesha maisha yao kupitia michezo. wana wachezaji professional mpaka wa Rugby,cricket,handball etc.
Uganda sekta ya michezo ni moja ya sekta iliyozalisha ajira nyingi sana kutokana na userious walionao.
Njoo kwetu sasa hapa kwanza waliokabidhiwa kuendesha sekata ya michezo sio wana michezo na hata hiyo nafasi wameipata kutokana na sababu za kisiasa na wako pale kuitumia sekta ya michezo kwa ajili ya kulinda na kuboresha maslahi ya kisiasa uhususani kwa mtu aliyewateua.. na ndio maana sekta imedumaa na hata ukiona mwanamichezo kapiga hatua ujue 100% ni juhudi zake mwenyewe.. ambapo na yeye awe tayari kutumiwa kisiasa, yaaani ni ovyoo ovyoo mpaka kichefu chefu.
Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu
fika kwenye ile kamati ya olympic taifautaratibu ukoje endapo mwakani nataka kushiriki?
HQ ni wapi?fika kwenye ile kamati ya olympic taifa
Nimeangalia livemkuu nimecheki matokeo kwenye mtandao nimesikitia dogo katuangusha, vipi ulichekli live?
HQ ni wapi?
www.tanzaniaolympics.org
SAfi, mimi nilichelewaNimeangalia live
Michezo kama hiyo kwetu ni migumu, vifaa na mabwawa ya kuogelea ni kitu adimukesho majira ya saa 6 mchana . mtanzania ataogelea : Women Swimming 50M Freestyle
Yeah mkuu, top 5. Namuona Mmoroco, Rwanda, na Uganda.Michezo kama hiyo kwetu ni migumu, vifaa na mabwawa ya kuogelea ni kitu adimu
Sasa wanaonyesha mchezo wa mbio za baiskeli. Hii ndio michezo ya kushiriki sasa
Ila haya hii ya kuendesha baiskeli huna mazoezi ya nguvu aisee unashindwa, kilometa zote hizo unapiga pedo tuu lazima mapaja na miguu iitikieYeah mkuu, top 5. Namuona Mmoroco, Rwanda, na Uganda.
Wale jamaa wanaendaga butiama kwa baiskeli wapambane