Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

tuanze kuwekeza kwenye facility za michezo. ikiwezekana mashuleni.
Viwanja vingi vya mashuleni vimeuzwa na viongozi wenye tamaa
Yaani kama anakuja Rais au waziri mkali na akarudisha kila viwanja ingekuwa poa sana na kama Rais atampa Baraka zote waziri na kutoa support kwa ukali
Kuna watu na njaa zao wameuza kila kiwanja mpaka kwenye sehemu za Dini pia
 
Habari wapenda michezo,

Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu

Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Jomba hata mazoezi ya kutembea ni magumu kuliko kukimbia kwasababu yanaleta injuries kirahisi sana kwenye nyayo. Kwahiyo usione watu wanashindana kutembea ukadhani ni rahisi. Walking race inaogopwa hata na wanariadha.
 
Back
Top Bottom