Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Naamini tunaweza kupata japo medali za shaba, maana Tanzania kila baada ya nyumba kadhaa kuna Guest house na Lodge za kutosha.Tunaweza tukafunikwa pia 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini tunaweza kupata japo medali za shaba, maana Tanzania kila baada ya nyumba kadhaa kuna Guest house na Lodge za kutosha.Tunaweza tukafunikwa pia 😄
😀😀 haya majengo ndo yanakuaminisha huko tunaweza?? Ila Olympics ina michezo mingi tungetafuta moja tujikite huko ili ijayo tupeleke watu wetuNaamini tunaweza kupata japo medali za shaba, maana Tanzania kila baada ya nyumba kadhaa kuna Guest house na Lodge za kutosha.
Safi sana kwa updates mkuu.
Labda tutashiriki na kufanya vizuri kwenye Sex Olympics
Tatizo sio kama hakuna wanamichezo wa kuweza kushiriki kwenye mashindano ya Olympic, shida ipo kwenye vigezo vinavyotumika pamoja na maandalizi. Raia wa Tanzania ambae ni mwanamichezo endapo atashiriki hayo mashindano na kushinda kwenye mchezo fulani ndipo utasikia anaanza kusikika na hapo ndipo utakapoona Wizara, waziri mwenye dhamana husika anaanza kuwa karibu pamoja na kumsapoti huyo mwanamichezo. Tatizo ni je kabla ya huyo mwanamichezo kushinda walikuwa wapi katika kumtambua na kumuandaa? Lakini pia mara hii kwenye Riadha wapo wanamichezo kama vile Alphonce Simbu.😀😀 haya majengo ndo yanakuaminisha huko tunaweza?? Ila Olympics ina michezo mingi tungetafuta moja tujikite huko ili ijayo tupeleke watu wetu
Vile vile inaonekanaTanzania tumelega kwenye kutafuta vipaji na kuviendeleza kuanzia ngazi za shule na kuendelea. Na kwanini tusiwe na Centre ambazo zitakuwa zinajishughulisha na mambo ya michezo kwa wenye vipaji ambapo moja ya kazi yao ni kuwaandaa na kuwasapoti vijana wenye vipaji katika michezo mbali mbali. Ili endapo itatokea uhitaji wa kushiriki kwenye mashindano watapata nafasi ya kushiriki ili hata kama mbeleni wakiwa wanamichezo maarufu watajulikana ni wapi walipoanzia.Tatizo sio kama hakuna wanamichezo wa kuweza kushiriki kwenye mashindano ya Olympic, shida ipo kwenye vigezo vinavyotumika pamoja na maandalizi. Raia wa Tanzania ambae ni mwanamichezo endapo atashiriki hayo mashindano na kushinda kwenye mchezo fulani ndipo utasikia anaanza kusikika na hapo ndipo utakapoona Wizara, waziri mwenye dhamana husika anaanza kuwa karibu pamoja na kumsapoti huyo mwanamichezo. Tatizo ni je kabla ya huyo mwanamichezo kushinda walikuwa wapi katika kumtambua na kumuandaa? Lakini pia mara hii kwenye Riadha wapo wanamichezo kama vile Alphonce Simbu.
Mimi sipendi mpira so olimpiki ndio hua unanipa hamasa ya kuiangalia hasa kuogelea kwa aina yoyote, kukimbia, handball ama volleyball game za wanawake, kulenga shabaha, kutembea, kuendesha baiskeli na michezo mingine mingi ila sio mpiraMimi napenda sana hii michuano! Inaanza UEFA CHAMPIONS LEAGUE, WORLD CUP halafu OLYMPIC SEASON 🏆🏅
Au wanaogopa atasifiwa zaidi ya mwanasiasaVile vile inaonekanaTanzania tumelega kwenye kutafuta vipaji na kuviendeleza kuanzia ngazi za shule na kuendelea. Na kwanini tusiwe na Centre ambazo zitakuwa zinajishughulisha na mambo ya michezo kwa wenye vipaji ambapo moja ya kazi yao ni kuwaandaa na kuwasapoti vijana wenye vipaji katika michezo mbali mbali. Ili endapo itatokea uhitaji wa kushiriki kwenye mashindano watapata nafasi ya kushiriki ili hata kama mbeleni wakiwa wanamichezo maarufu watajulikana ni wapi walipoanzia.
Kamepata uhuru juzi na bado kana vitaHii nchi ya ajabu Sana. Nchi Ina watu zaidi ya elfu sitini hatumuoni mbongo hata mmoja? Yaani hizi Simba na YANGA watu wanajaa kwenye matamasha Yao lakini hatuendi kupeperusha bendera ugenini? Tunazidiwa mpaka na ka Taifa Cha juzi Cha sudani ya kusini?
Kamati ya Olimpiki Tanzania hawaja promoti michezo mingi, wamewekeza zaidi kwenye mbio hasa marathon. Kuna michezo kama kulenga shabaha, kurusha mkuki, mishale, weight lifting nk. Bahati nzuri siku hizi kila sehemu kuna gym, hawa mabaunsa wakifundishwa tunaweza kupata washiriki.Tatizo sio kama hakuna wanamichezo wa kuweza kushiriki kwenye mashindano ya Olympic, shida ipo kwenye vigezo vinavyotumika pamoja na maandalizi. Raia wa Tanzania ambae ni mwanamichezo endapo atashiriki hayo mashindano na kushinda kwenye mchezo fulani ndipo utasikia anaanza kusikika na hapo ndipo utakapoona Wizara, waziri mwenye dhamana husika anaanza kuwa karibu pamoja na kumsapoti huyo mwanamichezo. Tatizo ni je kabla ya huyo mwanamichezo kushinda walikuwa wapi katika kumtambua na kumuandaa? Lakini pia mara hii kwenye Riadha wapo wanamichezo kama vile Alphonce Simbu.
HurumaMtu anaumia kwenye kupasha dakika 5 labla ya race
waziri alienda na timu, tunataka akirudi aliambie taifa wameleta dhahabu au hata shaba tu au walikuwa perdiem bure.Habari wapenda michezo,
Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Tegemea sentensi hii “tunaenda kujipanga na kujiandaa kwaajili ya mashindano mengine”waziri alienda na timu, tunataka akirudi aliambie taifa wameleta dhahabu au hata shaba tu au walikuwa perdiem bure.
Mwaka huu Jamaica hawana timu nzuriJamaica kachoma 4 ×100 men