Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Tupo hapaSaa tatu asubuhi
Marathon wanaume
Tanzania ndio tunaanza mashindano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo hapaSaa tatu asubuhi
Marathon wanaume
Tanzania ndio tunaanza mashindano
Nimechelewa hapa bado sjaona wakimbiaji wetuNipo makini kuona tunakuwa wa ngapi
Yupo kwenye leading team amevaa singled ya light blue mrefu anaitwa SimbuNimechelewa hapa bado sjaona wakimbiaji wetu
SAfi. Hizi medali wafanye zije east africaYupo kwenye leading team amevaa singled ya light blue mrefu
Kwenye list ya wakimbiaji kaandikwa mmoja
Kajitahid kukaza mana yule mzungu nae alikua na kasi. Safar hii kwny riadha naona wazungu wengi wameimarika sana. Miaka 2 au 3 ijayo watakua wanashinda sn hiz mbioKenya kachukua
YaanKashakata moto
Yn kwa kweli hatopata medali. Kashaachwa mbali sn.Kashakata moto
Yaan
Sio mbaya sana, ila medali ndo imeendaYn kwa kweli hatopata medali. Kashaachwa mbali sn.
ccm ndo hii hii mkuuMkuu watu wanajifariji tu hapa uongo, siku ambayo tutaacha SIASA ZA KIPUMBAVU hata kwenye michezo ndio siku ambayo pengine ndio tutaanza kupata medali ya shaba.
Yule mwingine kakata kabisa moto17. Simbu