Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

Hivi wasanii wetu wanaangalia hii performance inayofanywa bila kuongea kelele zisizo hitajika, jamaa kwenye olympic wanaimba sijasikia wakiongea hata kidogo.
 
Ukweli ni tunatia aibu. Tanzania , 0 medals.
5141c028a7a2960de9722bd122262e17.png

Wewe! Huyu pia ni MTANZANIA kwa asili, lakini anawakilisha MAREKANI 🇺🇸
 
Hivi wasanii wetu wanaangalia hii performance inayofanywa bila kuongea kelele zisizo hitajika, jamaa kwenye olympic wanaimba sijasikia wakiongea hata kidogo.
Hakuna piga keleleeee, mikono juuu 😀😀😀, kushoto, kulia
 
Paralympic sherehe za Ufunguzi.. karibuni tuweni pamoja na katika hii pia
 
Back
Top Bottom