Mashindano ya Wimbledon yafutwa mwaka 2020 kufuatia mlipuko wa Coronavirus

Mashindano ya Wimbledon yafutwa mwaka 2020 kufuatia mlipuko wa Coronavirus

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Wimbledon.jpg

Mashindano makubwa zaidi ya mchezo wa tennis duniani, Wimbledon, yamefutwa rasmi leo Jumatano kufuatia janga la coronavirus, ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mashindano hayo kutofanyika tangu Vita Kuu vya Pili vya Dunia.

Mashindano hayo yalipangwa kuchezwa huko London kuanzia Juni 29 hadi Julai 12. Badala yake, yatafanyika Juni 28 hadi Julai 11, 2021.

Mashindano hayo yalifanyika kwa mara ya kwanza mnamo 1877 na yamekuwa yakifanyika kila mwaka tangu wakati huo, isipokuwa mbara mbili tu: kutoka 1915-18 kwa sababu ya Vita vya Kwanza vya Dunia, na kutoka 1940-45 kwa sababu ya Vita Kuu vya Pili vya Dunia.

=======

WIMBLEDON, England — Wimbledon was canceled on Wednesday because of the coronavirus pandemic, the first time since World War II that the oldest Grand Slam tennis tournament won’t be played.

The All England Club announced after an emergency meeting that the event it refers to simply as The Championships is being scrapped for 2020.

Wimbledon was scheduled to be played on the club’s grass courts on the outskirts of London from June 29 to July 12.

Instead, the next edition of the tournament will be June 28 to July 11, 2021.

The tournament was first held in 1877 and has been contested every year since, with the exception of two stretches: from 1915-18 because of World War I, and from 1940-45 because of World War II.

It now joins the growing list of sports events scrapped completely in 2020 because of the COVID-19 outbreak.

That includes the Tokyo Olympics – which have been pushed back 12 months - (and the NCAA men’s and women’s college basketball tournaments.

Wimbledon is the first major tennis championship completely wiped out this year because of the coronavirus. The start of the French Open was postponed from late May to late September.

As of now, the U.S. Open is still scheduled to be played in New York from Aug. 31 to Sept. 13.

Source: NBC Sports

photo_2020-04-01_19-03-39.jpg
 
Back
Top Bottom