Obi anaweza kusimama kama kiungo mkabaji, pia wanao Lampard na Ballack and DECO!!![/QUOTE]
Lampard,Ballack na Deco hawa wote ni attacking midfield na sio deffensive midfield, Essien pia anamudu kucheza nafasi yoyote nyuma kama utakumbuka Terry alipopata majeruhi season ya 06/07 Essien alifiti kama central deffender.
...am Chelsea fan and i admit kuwa this is big blow lakini with those figures Lampard,Ballack,Deco and Obi i believe "The blues will shine"...Bado chelsea itasimama vizuri kwani hata defence line yake iko vizuri na Scolari ata-manouver kulingana na opponent anayekutana nae kwani hata pattern ya mchezo hubadilika kulingana na timu pinzani na mazingira ya mchezo....Get well soon Essien!!!!Obi anaweza kusimama kama kiungo mkabaji, pia wanao Lampard na Ballack and DECO!!![/QUOTE]
Lampard,Ballack na Deco hawa wote ni attacking midfield na sio deffensive midfield, Essien pia anamudu kucheza nafasi yoyote nyuma kama utakumbuka Terry alipopata majeruhi season ya 06/07 Essien alifiti kama central deffender.
Ni pigo kubwa kwa Blues ESSIEN anaweza cheza full back,central defender,defensive midfielder and attacking midfielder
Huyo Mikel mvuta bangi tu wajiandae kucheza pungufu kwani anacheza rafu bila sababu
ongea kitaalam....kwanini Obi ashindwe nafasi wakati kuna wakati alikuwa anamuweka benchi Makelele....Ni pigo kubwa kwa Blues ESSIEN anaweza cheza full back,central defender,defensive midfielder and attacking midfielder
Huyo Mikel mvuta bangi tu wajiandae kucheza pungufu kwani anacheza rafu bila sababu
Wewe OBI hawezi kumuweka benchi MAKELELE sema umri tu umeeendaongea kitaalam....kwanini Obi ashindwe nafasi wakati kuna wakati alikuwa anamuweka benchi Makelele....
Wewe OBI hawezi kumuweka benchi MAKELELE sema umri tu umeeenda
Tatizo la OBI anacheza rafu zisizo na mpango na huwezi kumlinganisha na ESSIEN huyo OBI anaweza kucheza beki? Kafunga magoli 3 tangu aje na huu ni msimu wake wa 3
wakati mwenzie kafunga 38
ehh mola weee hebu fanya basi akae nje msimu mzima alafu na kule kwa wenger tuumizie kale ka fabregas tena kwa miezi mi 3..ili tujishindie sie man utd ubingwa wetu by february
Mkuu mtaalamu kuna dogo Wallcot anatoka cheche! pia VanPersie ameonekana kupoa majeruhi yaliyokuwa yakimsumbua siku nyingi vilevile usimsahau Eduardo ambae anatarajiwa kurudi kabla ya christmas!
Wewe OBI hawezi kumuweka benchi MAKELELE sema umri tu umeeenda
Tatizo la OBI anacheza rafu zisizo na mpango na huwezi kumlinganisha na ESSIEN huyo OBI anaweza kucheza beki? Kafunga magoli 3 tangu aje na huu ni msimu wake wa 3
wakati mwenzie kafunga 38
hehehe mie sijaongelea hivyo kwa kutaja majina ya wachezaji tu,i know hao woote wanaweza wakawepo kwenye timu lakini angalia mchango wao yupi ni muhimu zaidi...ila nyie timu yenu uzuri sio hata ya kuogopewa cz ni kawaida yenu kuchemka ikifikia muda flan flan...
Uzuri wa timu yetu tofauti na timu yenu munategemea wachezaji wawili watatu, sisi hatutegemei majina, Cesc ni team player kama mwengine yoyote iwe Ade, Rosicky ama Kolo. Sisi tunacheza kitimu, na daima tutacheza entertaining football, Nyinyi United kama Cristiano angelipata majeraha nambie mngemaliza nafasi ya ngapi season ilopita? nadhani ya tano, sisi hatukuwa na Robin ama Dudu kwa kipindi kirefu na ndio sababu tulimaliza vibaya, ama kuchemka kama unavyodai, sasa season hii wako fit plus tuna-unleash young Theo tutaona matokeo, uyo Cesc wakitutangazia dau la kueleweka tutamtoa vilevile, si walikwenda akina Henry na Vieira? Mzee Wenger hawezi kukubali mchezaji yoyote ampandie kichwani,sio nyinyi Cristiano juu ya kukutieni roho na kukwambieni Live hataki timu mumemlazimisha kwa msimu mmoja!! tuone season hii kama ata-perfom kama mwaka jana.
hao woote uliowataja nani anaweza cheza nafasi ya kiuongo vyema pindi fabregas kaumia lets say miezi mi 3 nje?[/