Uzuri wa timu yetu tofauti na timu yenu munategemea wachezaji wawili watatu, sisi hatutegemei majina, Cesc ni team player kama mwengine yoyote iwe Ade, Rosicky ama Kolo. Sisi tunacheza kitimu, na daima tutacheza entertaining football, Nyinyi United kama Cristiano angelipata majeraha nambie mngemaliza nafasi ya ngapi season ilopita? nadhani ya tano, sisi hatukuwa na Robin ama Dudu kwa kipindi kirefu na ndio sababu tulimaliza vibaya, ama kuchemka kama unavyodai, sasa season hii wako fit plus tuna-unleash young Theo tutaona matokeo, uyo Cesc wakitutangazia dau la kueleweka tutamtoa vilevile, si walikwenda akina Henry na Vieira? Mzee Wenger hawezi kukubali mchezaji yoyote ampandie kichwani,sio nyinyi Cristiano juu ya kukutieni roho na kukwambieni Live hataki timu mumemlazimisha kwa msimu mmoja!! tuone season hii kama ata-perfom kama mwaka jana.