Mashine haitaki kulala tangu alfajiri

Mashine haitaki kulala tangu alfajiri

Al-Hadidy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
1,411
Reaction score
3,077
Kitaalamu wanasema kula mwanaume asubuhi akiamka lazima mashine iwe imedisa!!!
Sasa kwangu Leo ni too much tangu naamka hadi sasa haijalala bado naona shida sana.
Nimejaribu hadi kujing'ata ili nipate maumivu lakini ngoma bado imo,nashindwa kuamka kuendelea na mambo yangu hadi nimesingizia naumwa.
Nifanyaje mzigo utulie?
 
Fikiria mambo ya kisiasa yanavyoendelea nchini kwa muda wa dakika kumi na hali ya uchumi kwa sasa!

Hali ikiendelea nitafute nikuelekeze kivingine.
 
Kitaalamu wanasema kula mwanaume asubuhi akiamka lazima mashine iwe imedisa!!!
Sasa kwangu Leo ni too much tangu naamka hadi sasa haijalala bado naona shida sana.
Nimejaribu hadi kujing'ata ili nipate maumivu lakini ngoma bado imo,nashindwa kuamka kuendelea na mambo yangu hadi nimesingizia naumwa.
Nifanyaje mzigo utulie?
Tafuta "basha" akuchape nao fasta italala tu!!!
 
Kitaalamu wanasema kula mwanaume asubuhi akiamka lazima mashine iwe imedisa!!!
Sasa kwangu Leo ni too much tangu naamka hadi sasa haijalala bado naona shida sana.
Nimejaribu hadi kujing'ata ili nipate maumivu lakini ngoma bado imo,nashindwa kuamka kuendelea na mambo yangu hadi nimesingizia naumwa.
Nifanyaje mzigo utulie?
Una kila dalili ya kuwa uu mpenzi wa yanga!
 
Kitaalamu wanasema kula mwanaume asubuhi akiamka lazima mashine iwe imedisa!!!
Sasa kwangu Leo ni too much tangu naamka hadi sasa haijalala bado naona shida sana.
Nimejaribu hadi kujing'ata ili nipate maumivu lakini ngoma bado imo,nashindwa kuamka kuendelea na mambo yangu hadi nimesingizia naumwa.
Nifanyaje mzigo utulie?
Angalia utakuwa umegeuza boksa au chupi uliyovaa, bila shaka mashine itakuwa inanusa harufu ya kalio.
 
Uzi kama hizi za watoto wa shule hv hazifai kufutwa na mhusika kupewa suspension ili akue ndo alete uzi wa kikubwa🤔🤔🚶‍🚶‍🚶‍
 
Kitaalamu wanasema kula mwanaume asubuhi akiamka lazima mashine iwe imedisa!!!
Sasa kwangu Leo ni too much tangu naamka hadi sasa haijalala bado naona shida sana.
Nimejaribu hadi kujing'ata ili nipate maumivu lakini ngoma bado imo,nashindwa kuamka kuendelea na mambo yangu hadi nimesingizia naumwa.
Nifanyaje mzigo utulie?
kata umeme, mashine itazima!
 
uzinzi tuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!! kafanyeni kazi
 
fikiria kufa then unazikwa yani ndio unashushwa kaburini isipolala njoo nikupe pesa
 
Amka ufanye kazi acha kuwaza mapenzi
We kilichokupata sio ugonjwa ni matokeo ya mawazo unayowaza mda mrefu
Ukibadili mawazo utaona mabadiliko
 
Nyie hamjamuelewa ana maanisha mashine ya kusaga mahindi,
 
Back
Top Bottom