Mashine haitaki kulala tangu alfajiri

Mashine haitaki kulala tangu alfajiri

hiyo ukiwa kitandani huwa hailali, cha kufanya ww toka hapo kitandani ndo yenyewe italala.
 
Kitaalamu wanasema kula mwanaume asubuhi akiamka lazima mashine iwe imedisa!!!
Sasa kwangu Leo ni too much tangu naamka hadi sasa haijalala bado naona shida sana.
Nimejaribu hadi kujing'ata ili nipate maumivu lakini ngoma bado imo,nashindwa kuamka kuendelea na mambo yangu hadi nimesingizia naumwa.
Nifanyaje mzigo utulie?
Pima oik kama imo
 
Wanaume msaidieni Mwanaume mwenzenu huenda yuko serious acheni kumkejeli.
 
Back
Top Bottom