Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usivae chupi za kubana/Mashine inataka hewaWakuu nitawasalimia nikimaliza matatizo yangu
Ni hivi hapo majuzi nilipata mwamamke mkubwa kiumri kanizidi kama miaka 11, mimi nina 32. Nimechakatana nae vizuri na kweli mmama kaelewa show. Sasa tatizo lilianza baada ya siki kadhaa akawa muda wote anataka kuzagamuana na kila mzagamuo ni raundi 3 kwenda mbele. Ile hali ikanipelekea kukosa stamina nikaanza kumkwepa.
Baada ya kama wiki hivi akanitumia sms akaniambia si ninajifanya najidai na boro langu basi nitaona. Nikapuuzia nikajua mbwembwe tu za kukosa kikunio.
Sasa juzi nikapata kamwanamke fulani kazuri kweli, kuingia nae lodge ile nataka kuanza kumshikashika mara kuingiza mpini ghafla abdala kichwa wazi akalala mazima, pambana sana wapi. Nikaona labda leo hali ya hewa sio nzuri maana kulikuwa na kamvua, tukaghairi show.
Sasa tatizo limekuwa kubwa baada ya jana kupata dem mwingine mwanafunzi wa chuo, nikampeleka ghetto, piga sana finger lamba lips mpaka mtoto akataka mic atume salam, kumpa mic sauti haitoi yaani mashine imelala kabisa kama niko kwenye interview. Hapo ndio nikakumbuka maneno ya yule mmama. Sasa naombeni ushauri wakuu nisaidieni nifanye nini mashine haitaki kuwaka hata dalili haina.
Nawasalimu kwa jina la jf.
Duh, cha moto umekiona mkuu! Test kwa huyo mama uone kama jembe litalima!😁😁Halipiti linakuwa kama goigoi tu
Unamdanganya mkuu! Huyo jamaa yetu amebugi mahali!Usivae chupi za kubana/Mashine inataka hewa
Ulivyombea uache kupita wewe ..😉Napita
Hahaha😂😂😂🙌Ulivyombea uache kupita wewe ..😉
Pole. Hapo kawaone wazee wajuzi wa mamboWakuu nitawasalimia nikimaliza matatizo yangu
Ni hivi hapo majuzi nilipata mwamamke mkubwa kiumri kanizidi kama miaka 11, mimi nina 32. Nimechakatana nae vizuri na kweli mmama kaelewa show. Sasa tatizo lilianza baada ya siki kadhaa akawa muda wote anataka kuzagamuana na kila mzagamuo ni raundi 3 kwenda mbele. Ile hali ikanipelekea kukosa stamina nikaanza kumkwepa.
Baada ya kama wiki hivi akanitumia sms akaniambia si ninajifanya najidai na boro langu basi nitaona. Nikapuuzia nikajua mbwembwe tu za kukosa kikunio.
Sasa juzi nikapata kamwanamke fulani kazuri kweli, kuingia nae lodge ile nataka kuanza kumshikashika mara kuingiza mpini ghafla abdala kichwa wazi akalala mazima, pambana sana wapi. Nikaona labda leo hali ya hewa sio nzuri maana kulikuwa na kamvua, tukaghairi show.
Sasa tatizo limekuwa kubwa baada ya jana kupata dem mwingine mwanafunzi wa chuo, nikampeleka ghetto, piga sana finger lamba lips mpaka mtoto akataka mic atume salam, kumpa mic sauti haitoi yaani mashine imelala kabisa kama niko kwenye interview. Hapo ndio nikakumbuka maneno ya yule mmama. Sasa naombeni ushauri wakuu nisaidieni nifanye nini mashine haitaki kuwaka hata dalili haina.
Nawasalimu kwa jina la jf.
Ndio ushapigwa lock inabidi umrudie to ukaombe poo na zawadi upeleke umuombe msamaha.Jimama hilo ni likali kaka nashindwa kulifuata tena.
Kazi iendeleeeeee pole chief kwa habari hiyo ushayatimba ulimruhusu akufute kwa kitambaa chake kaondoka nacho kakifanyia maudove hivyo unanjia mbili ya kwenda kumuangukia nakuomba msamaha au uende katka maombi ufunguliweeWakuu nitawasalimia nikimaliza matatizo yangu
Ni hivi hapo majuzi nilipata mwamamke mkubwa kiumri kanizidi kama miaka 11, mimi nina 32. Nimechakatana nae vizuri na kweli mmama kaelewa show. Sasa tatizo lilianza baada ya siki kadhaa akawa muda wote anataka kuzagamuana na kila mzagamuo ni raundi 3 kwenda mbele. Ile hali ikanipelekea kukosa stamina nikaanza kumkwepa.
Baada ya kama wiki hivi akanitumia sms akaniambia si ninajifanya najidai na boro langu basi nitaona. Nikapuuzia nikajua mbwembwe tu za kukosa kikunio.
Sasa juzi nikapata kamwanamke fulani kazuri kweli, kuingia nae lodge ile nataka kuanza kumshikashika mara kuingiza mpini ghafla abdala kichwa wazi akalala mazima, pambana sana wapi. Nikaona labda leo hali ya hewa sio nzuri maana kulikuwa na kamvua, tukaghairi show.
Sasa tatizo limekuwa kubwa baada ya jana kupata dem mwingine mwanafunzi wa chuo, nikampeleka ghetto, piga sana finger lamba lips mpaka mtoto akataka mic atume salam, kumpa mic sauti haitoi yaani mashine imelala kabisa kama niko kwenye interview. Hapo ndio nikakumbuka maneno ya yule mmama. Sasa naombeni ushauri wakuu nisaidieni nifanye nini mashine haitaki kuwaka hata dalili haina.
Nawasalimu kwa jina la jf.
Nilizifuta mkuuNaomba namba za huyo maza
Kha! Sasa utampataje maana dawa ya tatizo lako anayo yeye. Kwisha habari yako..Nilizifuta mkuu
Emu nisomee hapa kaandikaje?Napita
piga sana finger lamba lips mpaka mtoto akataka mic