Mashine kubwa za printing

mfuga kuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
824
Reaction score
650
Habari wanabodi!

Baada ya kuanza na biashara ya stationery na kwa faida kiasi ninayoipata, nimeona niwaze kufanya makubwa zaidi katika tasnia hii ya stationery kwa kumiliki mashine kubwa kabisa kwa ajili ya kazi nyingi na kubwa za mitihani na vitabu vya aina tofauti tofauti!

Hivyo basi kwa mwenye ufahamu na hizi mashine kubwa, mara nyingi huwa zinakuwa za chuma na zinakopatikana anipe mwangaza ili nijue kwa kuanzia.
 
Nakushauri kama bado mtaji sio mkubwa endelea kupambana huku uki-outsource kazi zako zinazohitaji mashine kubwa.
 
Canon IR 30300 kwenda juu tafta hizo machine
 
Mimi Nauza hii,ina print,scan na inatoa copy.


Canon i-SENSYS MF 3010 Laser All in one Print
About this item
Toner Cartridge: Cartridge 325*2 (1,600 pages), (Bundled cartridge 700 pages), Monthly Duty Cycle: 8,000 pages
Copy Type: Monochrome Laser, Copy Speed: Up to 18 / 19cpm (A4 / LTR), Copy Resolution- Speed priority mode: 600 x 400dpi, Resolution priority mode: 600 x 600dpi
Standard Interface: USB 2.0 Hi-Speed, USB Function: Print, Scan
Scan Resolution - Optical: Up to 600 x 600dpi, Driver enhanced: Up to 9600 x 9600dpi.
LCD Display: 7 Segment (1 digit) LED, TEC (Typical Electricity Consumption): 0.6kWh/W
 

Attachments

  • d0e8ce7ac043cb8eeb3399dccc982a36.jpg
    65.8 KB · Views: 15
  • 71i-fyf0moL.jpg
    44.3 KB · Views: 15
  • 718T+rMFvnL.jpg
    50 KB · Views: 15
Weka na bei, imefanya kazi kwa muda gani?
 
Mashine kubwa ni kama Konica Minolta, hizo bei zake zimechangamka
Zinaanzia 50mil, ambazo ni nzuri

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Laki 2?
 
Hii ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…