mfuga kuku
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 824
- 650
Habari wanabodi!
Baada ya kuanza na biashara ya stationery na kwa faida kiasi ninayoipata, nimeona niwaze kufanya makubwa zaidi katika tasnia hii ya stationery kwa kumiliki mashine kubwa kabisa kwa ajili ya kazi nyingi na kubwa za mitihani na vitabu vya aina tofauti tofauti!
Hivyo basi kwa mwenye ufahamu na hizi mashine kubwa, mara nyingi huwa zinakuwa za chuma na zinakopatikana anipe mwangaza ili nijue kwa kuanzia.