Mashine maalumu kwa watafiti wa madini (Power Auger)

Mashine maalumu kwa watafiti wa madini (Power Auger)

Kadanga

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
100
Reaction score
58
Habari wanajamii, ninapenda kuwataarifu kwamba kwa yeyote anayehitaji power auger yenye uwezo wakuchimba kina cha 10miters, mashine hii ni nzuri kwa watafiti wa madini, wajenzi wa barabara watafiti wa mambo ya kilimo na mambo mengine kama hayo. Bit tunazo tumia ni 60mm,100 mm. Tutakufanyia kazi kwa garama nzuri sana. Tupo Dar, kwa mawasilianao piga 0719789087
IMG_20190610_093334.jpeg
IMG_20190610_092651.jpeg
 
Back
Top Bottom