MASHINE YA AJABU INAYOVUNJA RECORD YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA WENGI ZAIDI.

mrkazi360

Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
69
Reaction score
40
(full Automatic egg incubator).

■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120.

● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri

●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor

●Ukiwa na betri la gari pia N70 unaweza kuunganisha.

●Inatumia umeme kidogo sana wastani wa 5000 hadi 10000 ndani siku 21.

●Inageuza mayai yenyewe.

●Inacontrol joto na unyevu nyevu.

●Hudumu kwa muda mrefu.

●Nirahisi sana kutumia kwani inaprogram raisi ya kuseti.

●Inakuja na warrant ya mwaka mmoja.

●Inauwezo wa kuangua vifaranga hadi 98%

-Ukinunuwa kwetu MIFUGO PLUS tutakuelekeza kutumia hadi unaelewa.

-Pia tutakupa Elimu ya uleaji vifaranga buree.

● BEI=500,000/=Tsh

Tupo Dar es salaam tegeta kwa ndevu dalajani opposite na ukumbi wa THE ONE HALL njia ya kwenda jeshini.

Mikoani kote tunamawakala.

●Tupigie 0656446991
0747608608
 

Attachments

  • IMG_20250505_145415_382.jpg
    655 KB · Views: 42
  • IMG_20250505_145525_139.jpg
    599.5 KB · Views: 51
  • IMG_20250505_145511_568.jpg
    606.1 KB · Views: 52
  • IMG_20250505_145408_196.jpg
    613.5 KB · Views: 55
  • IMG_20250505_145403_883.jpg
    599 KB · Views: 47
  • IMG_20250505_145500_521.jpg
    579 KB · Views: 51
Dodoma wakala Yuko wapi?Au Sehemu Gani?
 
Umeisifia hadi umepitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…