Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji87][emoji87][emoji87]Katika 60,000 yako 9000. Umeme juu yako, kulilinda juu yako. Ikitokea kakuta 50,000 anaondoka nayo na wewe wiki hiyo kamishen inakua imekata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji87][emoji87][emoji87]Katika 60,000 yako 9000. Umeme juu yako, kulilinda juu yako. Ikitokea kakuta 50,000 anaondoka nayo na wewe wiki hiyo kamishen inakua imekata
muda wa kulifungua ni saa 10 na kufunga saa 5. Mimi nilikua barabarani kwahiyo hata kujiiba kufungua na kufunga haiwezekani.Haukuwa senta ndio mana sasa hivi yanawekwa sana sehem zenye watu wengi
Umenichekesha sana mkuu,[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1526404
View attachment 1526405Huu ndio muonekano wa sarafu za 200 baada ya kuzamishwa kwenye dubuli au bonanza mashine za kamari za kichina.
Hii mashine inaharibu sarafu sana kiasi kwamba hazisomeki wala kuonekana vizuri.
View attachment 1526406Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli, unaweka 200 unacheza.
Hata serikali inachukua kodi kupitia hizi mashine watengeneze mfumo mzuri wa kulinda hizi sarafu.