JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Good , sasa hivi nimeweka uzi nikiulizia kifaacha hicho. Kuna mtu kaniambia kinaitwa Ignition machine??? spelling??? (ndiyo nikaja kuomba ufafnuzi hapa). Kaniambia bei yake ni 300,000. Is this true?Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro
Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine,
Special functions zaidi ya 30
Active test
Immobilizer and Key Programming
Bidirectional
Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet.
Software yake ni 500,000 kwa mwaka(Hapo utapata software za gari zote ndogo, malori yote mpaka ya kichina, mitambo yote, gari za umeme kama Tesla, BYD n.k.)
Bei milioni na nusu ikiwa na software zote ambazo nimezitaja hapo juu kwa mwaka mmoja.
Mashine ni mpya haijaanza kutumika.
Kama uko interested tutumie message whatsapp +255 688 758 625/+255621221606
Unaulizia kifaa gani mkuu?Good , sasa hivi nimeweka uzi nikiulizia kifaacha hicho. Kuna mtu kaniambia kinaitwa Ignition machine??? spelling??? (ndiyo nikaja kuomba ufafnuzi hapa). Kaniambia bei yake ni 300,000. Is this true?
How to detect the Fault in a Vehicle . nina gari inasumbua mafundi wameshindwa kuona tatizoUnaulizia kifaa gani mkuu?
Gari aina gani na ina shida gani? Je inawasha taa yoyote kwenye dashboard?How to detect the Fault in a Vehicle . nina gari inasumbua mafundi wameshindwa kuona tatizo
Nissan serena c23 1992 capacity 1998cc. Taa zote zinawaka dashboard. Ilizima ghafla... inawaka lakini haishiki kasi uki accelerate,,,kama inakata uki-accelerateGari aina gani na ina shida gani? Je inawasha taa yoyote kwenye dashboard?
Kwenye mashine ya Diagnosis mmecheck?Nissan serena c23 1992 capacity 1998cc. Taa zote zinawaka dashboard. Ilizima ghafla... inawaka lakini haishiki kasi uki accelerate,,,kama inakata uki-accelerate
ndiyo hiyo nauliza inaitwajeKwenye mashine ya Diagnosis mmecheck?
Inaitwa hivyohivyo mashine ya Diagnosis,ndiyo hiyo nauliza inaitwaje
Pole sana mkuu. Mashine nyingi za diagnosis ni OBD-2 yaani ni kwa ajili ya magari ya kuanzia mwaka 1996 na kuendelea. Hiyo ya 1992 itahitaji OBD-I diagnosis machine.Nissan serena c23 1992 capacity 1998cc. Taa zote zinawaka dashboard. Ilizima ghafla... inawaka lakini haishiki kasi uki accelerate,,,kama inakata uki-accelerate
where do i get it pleasePole sana mkuu. Mashine nyingi za diagnosis ni OBD-2 yaani ni kwa ajili ya magari ya kuanzia mwaka 1996 na kuendelea. Hiyo ya 1992 itahitaji OBD-I diagnosis machine.
kupima gari yangu mafundi have failed to detect the faultInaitwa hivyohivyo mashine ya Diagnosis,
Unahitahi kwa ajili ya kupima au kwa ajili ya kununua?
Uwe na kazi mkuu, na uwe unayajua mambo.Dah hiki kifaa ukiwa nacho hulali njaa
Dah sikuwa nimeona huo mwaka wa gari, OBD I nissan sijawahi kupima zimeshanitoa Knock out mara kadhaa kwanza sina hata cable yake.Pole sana mkuu. Mashine nyingi za diagnosis ni OBD-2 yaani ni kwa ajili ya magari ya kuanzia mwaka 1996 na kuendelea. Hiyo ya 1992 itahitaji OBD-I diagnosis machine.