EFD haziuzwagi kama simu ndugu yangu. Sitakuelezea zinavyofanya kazi bali nikuambie tu kwamba kila EFD ina Serial Number na TIN number na zinajumuika kutengeneza namba inayoitwa UIN (TinYaMuuzaji +TinYaMwenyeMashine+SerialNumberYaMashine) Hizo details hazibadilishwi kirahisi kama unavyodhani.Habari wana jf,
Rafiki yangu ana Biashara na hivyo anahitajika kununua mashine ya EFD ila hana uwezo wa kununua hivyo anatafuta kama ataweza kupata kwa mtu ambaye alinunua na baadae akafunga biashara ili amrudishie pesa kidogo kwa kadiri watakavyokubaliana.
Asanteni.
Mkuu EFD hazina ujanja ujanja mkuu,ikishapata UIN basi imetoka hiyo huwezi kuiuza tena,binafsi nauza hizi mashine za EFD nitafute upate mashine nzuri brand ya perfect kutoka SOFTNET.Habari wana jf,
Rafiki yangu ana Biashara na hivyo anahitajika kununua mashine ya EFD ila hana uwezo wa kununua hivyo anatafuta kama ataweza kupata kwa mtu ambaye alinunua na baadae akafunga biashara ili amrudishie pesa kidogo kwa kadiri watakavyokubaliana.
Asanteni.
Asante kwa kuongezea.Mkuu EFD hazina ujanja ujanja mkuu,ikishapata UIN basi imetoka hiyo huwezi kuiuza tena,binafsi nauza hizi mashine za EFD nitafute upate mashine nzuri brand ya perfect kutoka SOFTNET.
Nicheki mkuu.
Pamoja mkuuAsante kwa kuongezea.
EFD haziuzwagi kama simu ndugu yangu. Sitakuelezea zinavyofanya kazi bali nikuambie tu kwamba kila EFD ina Serial Number na TIN number na zinajumuika kutengeneza namba inayoitwa UIN (TinYaMuuzaji +TinYaMwenyeMashine+SerialNumberYaMashine) Hizo details hazibadilishwi kirahisi kama unavyodhani.
Tafuta EFD mpya ya bei rahisi uepuke usumbufu
Habari wana jf,
Rafiki yangu ana Biashara na hivyo anahitajika kununua mashine ya EFD ila hana uwezo wa kununua hivyo anatafuta kama ataweza kupata kwa mtu ambaye alinunua na baadae akafunga biashara ili amrudishie pesa kidogo kwa kadiri watakavyokubaliana.
Asanteni.
Haiwezi kurudishwa sokoni, kuna baadhi ya vitu ambayo vikishasajiliwa kwenye mashine na system ya TRA basi haviwezi kusajiliwa kwa mara nyingine. Kwamfano.Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
Bei zina varry kulingana na muuzaji na aina ya Mashine. So far baadhi ya mashine ni kama..Mwenye kujua bei ya hizo mashine za EFD basi atuhabarishe na sisi wengine tupate faida na si mtu kutengeneza mazingira ya kufuatwa pm
This was a Long Political Story ended at KARIAKOO on june past year... asijisumbue hata.EFD ni bure, wasiliana na TRA.
May be aende anaweza akanikuta huko.
May be aende anaweza akanikuta huko.
Hakuna kitu kama hicho...EFD ni bure, wasiliana na TRA.
Faiza hakuna kitu kama hicho,tafuta hata no.za TRA kwenye official website yao wapigie simu uwaulize kuhusu EFD machine kama zinatolewa bure....Itakuwa vyema sana, kuna mambo mengine hayahitaji porojo za mitandaoni.
Wapo wanaouza kwa instalments mbili. Unalipa 350,000 kwanza then 350,000 baada ya miezi mitatu. Mimi nilinunua kwa awamu kutoka Advatech kusema ukwrli hio mashine haijawahi kunisumbua mwaka wa mbili huu unaenda wa tatu.Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?