Mashine ya juice ya miwa inauzwa

Mashine ya juice ya miwa inauzwa

Joined
Apr 30, 2018
Posts
9
Reaction score
4
Kuna mashine ya juice ya miwa inauzwa ipo dsm inatumia generator hvyo haiitaji umeme kuoperate inafanya Kaz popote kwa 1300000 tu imetumika kwa miez 3 namba 0743514463
Mm nahama dsm thus y nauza
 
Hii mashine mbona ina kutu hivi!!! Imetumika miaka mingapi?
 
mbona bei sana mkuu,maana watu wa kariakoo wameshusha bei,wanauza 1.2mpyaa.hiyo umechukua eneo ganiii maana huenda hata ubora unatofautiana
 
Kwahiyo umeamua kuweka picha za kutosha yaani, au siyo?
 
images(50).jpeg
picha hio hapo, ni automatic haitumii umeme, gas wala mafuta, yenyewe inakula maganda ya miwa
 
Back
Top Bottom