Mashine ya Ku "Print" Vitambulisho

Mashine ya Ku "Print" Vitambulisho

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Heshima Yenu wakuu, eti mashine ya Kutengeneza au Kuprint Id/vitambulisho ni sh ngapi na kwa anayejua jina lake na upatikanaji wake tafadhali anielekeze
 
Zipo MASUMIN COMPUTERS

Zinaanzia MILIONI MBILI

Wasiliana nao kwanza ujiridhishe ila pia pitia mitandaoni . Ujue bei zipoje kabla ya maamuzi
Screenshot_20180912-162029.jpg
 
Kuna aina tofauti tofauti mfano, Epson l382 bei yake kuanzia laki 5 na nusu.Tembelea maduka ya computer kujua zaidi.
 
Back
Top Bottom