Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku wa kisasa

Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku wa kisasa

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,077
Reaction score
1,736
Mi nimjasiliamali mdogo ninae jishughulisha na ujasilliamali mbalimbali ikiwemo hii ya kufuga kuku wa kisasa hasa wa nyama!! Lakini ningependa kuona na kutazama mbele zaidi kwa maana sijaridhika na hapa nlpo!!Ningependa tupeane mawazo katka haya

1.Nataka kujua Machine za kuchanganya chakula cha kuku zinauzwa au zinahitaji mtaji wa sh ngap

2.Kwa wanaototolesha vifaranga binafsi achilia mbali makampun kama interchick!! Hali ikoje ,ufanis wa hiz machine za kutotoleshea,hasara na gharama za kumudu had kutoa vifaranga

3.Wapi naweza nikapata formula nzuri ya uchanganyaji wa chakula kama zile za interchick achana na hiz tunazotumia mitaan hazna ubora kama wa chakula cha kununua

Msaada wa mawazo,habari ,ujuzi au ushauri katka hayo au mengine yanayohusu hii maada
 
Formula bwana wanasema zinauzwa, ukipata iliyo makini kabisa usisite kushare na sisi.
 
Back
Top Bottom