Mashine ya kuhesabia pesa inauzwa

Mashine ya kuhesabia pesa inauzwa

Jzachwa

New Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
3
Reaction score
11
◉ Mashine hii inahesabu pesa zote za noti iwe fedha ya kigeni mfano:- dollar , euro, kwacha, Tshs n.k.

◉ Unaweza kuitumia ofisini kwako, dukani kwako katika matumizi mbalimbali ya kuhesabia pesa kwa uharaka zaidi na kwa uhakika zaidi.

◉ Tunakupatia Warranty ya miaka 2. Karibuni sana

◉ Bei yake : 250,000 /=.

◉ Waweza kutupigia☎️ : 0759121640
 

Attachments

  • bill counter.jpg
    bill counter.jpg
    5.5 KB · Views: 11
kwa pesa zipi nilizonazo kwenye huu uchumi wa KATI
 
Ngoja niendelee kujaza kibubu ninunue mashine ya kuhesabia hela[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom