Iligunduliwa machine ya kukamata wezi huko Marekani na kupelekwa nchi mbalimbali kwa majaribio.China baada ya dk 5 watu 10 walikamatwa ,Kenya baada ya dk 5 watu 50 walikamatwa,South Africa baada ya dk 5 watu 100 walikamatwa.Ilipofikishwa Tanzania baada ya dakika tano mashine yenyewe iliibwa!