HPAUL JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 410 Reaction score 567 Mar 22, 2014 #1 Naomba kujuzwa wapi nitapata mashine za kuchanganyia unga wa mkate (kukanda) zisizotumia umeme. Bei na uwezo wa mashine ni muhimu.
Naomba kujuzwa wapi nitapata mashine za kuchanganyia unga wa mkate (kukanda) zisizotumia umeme. Bei na uwezo wa mashine ni muhimu.