Sprinkler kati 10,000 na 20,000. Jitahidi utengeneze mfumo wa umwagiliaji wa matone baada ya kukuza mtaji.
Kwa sasa Hongera sana.
More grease to your elbows
Ahsante sana .....hii ndo mara ya kwanza na je naanza kumwagilia baada ya mda gani?????Sikushauri kurusha maji juu. Njia bora ni kutumia matone. Unakuwa na chanzo nchako cha maji, unavuta maji kwa pampu alafu unasambaza kwa kutumia mabomba madogo yenye matundu madogo ambayo yatatoa matone ya maji kwenye mashina ya miche tuu.
Faida ya kutumia matone badala ya kurusha maji ni ipi?Sikushauri kurusha maji juu. Njia bora ni kutumia matone. Unakuwa na chanzo nchako cha maji, unavuta maji kwa pampu alafu unasambaza kwa kutumia mabomba madogo yenye matundu madogo ambayo yatatoa matone ya maji kwenye mashina ya miche tuu.
Sprinkler tatizo ni kutumia maji mengi na pia husababisha magonjwa mengi ya ukungu maana ni kama unalima msimu wa mvua ,drip inatumia maji machache na pia ni bora sema cost yake iko juu tofauti na sprinkler,so ukiamua kutumia sprinkler andaa na dawa za kuzuia na kutibu ukungu mancozeb-mancozeb+metalaxyl-azoxystrobin-difenoconaxole-azoxystrobin+difenoconaxole (hizo ni active ingredients za dawa utaanza na dawa za kuzuia ukungu mwanzo wa msimu na mashambulizi yakianza unaanza kutibu kuanzia ya nguvu ndogo mpaka kufika kwenye yenye nguvu zaidi)Wadau nalima tikiti maji kanda ya ziwa..ziwani kabisa nategemea kiwe cha umwagiliaji ....heka tatu...changamoto iliyopo namwagiliaje ....water pump ya kawaida naona itakuwa kazi sana.....nimewaza ile ya kurusha maji juu.....sijui nko sawa na kama nko sawa naipataje na bei yake je....au kama kuna wazo jingine jinsi ya kumwagilia ....nategemea kupanda mbegu week hii....
Hata kipindi cha kiangazi nako kunashida zake maana wadudu wanakua wengi sanakumbe ni gharama kulima kipindi cha mvua? asante umeniokoa..
so kipi ni kipindi ambacho kinagharama nafuu zaidi. mie ninataka kufanya kipindi cha masika ili kupunguza gharama ya nguvu kazi ya kumwagilia maji.. maana ndo msimu wangu wa kwanzaHata kipindi cha kiangazi nako kunashida zake maana wadudu wanakua wengi sana
Ahsante hata jina nlikuwa siijui.....sasa hiyo naweza pata kwa sh ngapi......sprinkler
Naunga mkono wazo lako. Mfumo wa umwagiliaji wa matone (drip irrigation) ni cost effective zaidi ukilinganisha na wa sprinkler, hasa kwenye matumizi bora ya maji. Ukitumia sprinkler, utalazimika kutumia maji mengi, kwa sababi mengine yatamwagilia hata sehemy ambazo hazina mimea. Ila ukitumia mfumo wa matone, maji yanakwenda kumwagilia mmea husika moja kwa moja, bila kupotea.Jitahidi utengeneze mfumo wa umwagiliaji wa matone baada ya kukuza mtaji.
Kwa sasa Hongera sana.
More grease to your elbows
Matikiti maji hayahitaji maji mengi saana na ukitaka kutumia njia ya umwagiliaji inahtaji uwe ba initial capital kubwa
Kwa eneo la heka tatu na ukitaka umwagilia kwa kutumia sprinkler method inayomwaga maji 6*6 m itakubid utumie jetgun (boom sprayer) ambayo inahtaj pump yenye uwezo mkubwa
Drip irrigation ni sufficient kama eneo ni dogo na mahtaji yake sio makubwa saana
BUT
Kabla hujaanza kutumia any method ya irrigation jiulize maswal haya;
1: type of crop u what to grow
2: Soil type
3: water requirement of the crop
4: source of water nk
Hapo waweza angalia una kias gan mfukon na ukaamua baaada ya kufatilia kwa makin.
NAPITA TU