amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
- Thread starter
- #41
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kama una hela tafuta solar water pump kampuni ipo iringa kuanzia m1 utapata ndogo. Tuendane na teknolojia hio sprinkler ingia madukani ila kwa water pump utaingiliwa vinginevyo uwe na tangi la maji