Mashine ya kumwagilia ile ya kurusha maji juu

Ahsante sana .....hii ndo mara ya kwanza na je naanza kumwagilia baada ya mda gani?????
umwagiliaji unategemea sana aina ya udongo na aina ya zao unalolima kwa hyo tafta mm ni mtaalamu wa umwagiliaji (irrigation enginerr nichek 0763347985 naweza kukusaidia)
 
Jamani tusipende kukariri theories. Ni kweli sprinkler sio nzuri compare na drip irrigation. Lakini wenzetu wenye mashamba makubwa katika nchi zilizoendelea hawatumii drip irrigation maana inakuwa soo expensive compare na sprinkler.
lakini ni efficient than sprinkler
Sprinkler inatumika vizuri kama utafata taratibu za kiutaharamu. Mi sio mtaharamu wa kilimo, lakini moja ya utaharam wa kutumia sprinkler ni unabidi umwagilizie asubuhi na sio jioni.
si kweli, sio lazima umwagilie asubuhi na jioni! nadhani ni jinsi ya kudeal na crop water requirement na evapotransipiration.
unasemea vipi mvua ikiwa inanyesha, je maji hayabaki kwenye majani?
Kumbuka drip irrigation orgin yake ni Israel ambapo hwana maji ya kutosha kwa kilimo. So ili kupunguza matumizi ya maji ndyomaana wakaja na iyo drip irrigation. Ila katika nchi kama USA, China etc kilimo kikubwa wanatumia sprinklers..
hii bado haipingani na ukweli kwamba drip irrigation ndio the best. karibu
 

Attachments

  • upload_2016-4-19_22-1-13.png
    45.3 KB · Views: 137
ndugu kwa ushauri tu, kama unauwezo tumia drip irrigation, kwa mazao kama hayo ni vyema ukaweka drip kuliko sprinkler japo zote ni the best ila drip iko vizuri zaidi.
lakini je una pump ya maji? eneo lako likoje,je liko level au ni mwinuko?? je unampango wa kutumia kiasi gani kwenye hiyo project hasa kwenye sekta ya umwagiliaji? unajua aina ya udongo wa kwenye shamba lako?

NB: Kama una mpango wa kumwagilia sikushauri upande kabla hujajua aina gani ya umwagiliaji, usioteshe kabla huja install system ya umwagiliaji.
 
Mkuu nahis ni lazima kutandaza pipe kwa kila tuta na tundu kwa kila mche.
Garama ya hizo pipe ikoje?
 
Mkuu nahis ni lazima kutandaza pipe kwa kila tuta na tundu kwa kila mche.
Garama ya hizo pipe ikoje?

Gharama ni lazima mkuu. Ukitaka cha uvunguni sharti uiname. otherwise ukisambaza maji shamba zima, kwanza utatumia maji mengi sana ambayo ni gharama, na pia utasababisha majani yaote mengi sana hivyo utakuwa na gharama za kupalilia mara kwa mara. Kupanga ni kuchagua
 
Reactions: Ok9
kuna jamaa anafunga local drip irrigation gharama zake ni nafuu sana anafunga robo eka kwa laki 2 mcheki kwa namba izi 0688246998, 0675953263
 
Naongezea hapo drip ni bora zaid overhead ina shida ya magonjwa, magugu na pia kipindi cha mmea kutoa maua km ni zile high pressure systems basi ujue utaharibu baadhi ya maua kiukweli sprinkler inafaa sana kwa lawn na kwa kampuni kubwa zenye uwezo wa kupambana na matokeo sie wa Chini drip ndo mkombozi wetu
 
Hekari 3,hiyo ni zaidi ya uwekezaji lazima mtaji uwe mkubwa.Lakini micro irrigation via drippers ndiyo suluhisho kwani matikiti hayahitaji maji mengi.Bora ukainstall system kwa hekari moja kwanza uone return ipoje.Drip irrigation simple unaweza kulima hata misimu 4 kabla hujaiboresha tena.
 
Sprinkler kati 10,000 na 20,000. Jitahidi utengeneze mfumo wa umwagiliaji wa matone baada ya kukuza mtaji.

Kwa sasa Hongera sana.
More grease to your elbows
Sprinkler ya nusu inch ni 20,000/ na robo tatu inch ni 23,000/=hapo ni lazima upate na plug na garden hose yenye kipenyo sawa na Sprinkler yako
 
Inaitwa Sprinkler
 
Ulifikia wapi mkuu ? Ulitumia njia gani na mafanikio ya hiyo njia yalikuwaje ?
 
Sikushauri kurusha maji juu. Njia bora ni kutumia matone. Unakuwa na chanzo nchako cha maji, unavuta maji kwa pampu alafu unasambaza kwa kutumia mabomba madogo yenye matundu madogo ambayo yatatoa matone ya maji kwenye mashina ya miche tuu.
tatizo mtaji, niliuliza sehem nikaambiwa eka moja milioni tatu
 
tatizo mtaji, niliuliza sehem nikaambiwa eka moja milioni tatu

Sasa hiyo ya kurusha maji tatizo maji mengi yanapotea bila sababu. Na pia mazao mengine hayapendi maji ya kumwagiwa toka juu mfano kitunguu. Drip irrigation is the best, tone la maji linalenga shina husika unapunguza gharama ya palizi maana majani hayataota hovyo. pia utatumia maji kidogo sana
 
Mkuu kama una hela tafuta solar water pump kampuni ipo iringa kuanzia m1 utapata ndogo. Tuendane na teknolojia hio sprinkler ingia madukani ila kwa water pump utaingiliwa vinginevyo uwe na tangi la maji
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…