Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Niliyonayo inaweza kulift maji hadi 28m so nadhan kama kisima sio kirefu inaweza kufaa pia.Vp inafaa kwa kisima kirefu kiasi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyonayo inaweza kulift maji hadi 28m so nadhan kama kisima sio kirefu inaweza kufaa pia.Vp inafaa kwa kisima kirefu kiasi??
Hii ndio 700kNiliyonayo inaweza kulift maji hadi 28m so nadhan kama kisima sio kirefu inaweza kufaa pia.![]()
Mnatengeneza wenyewe au ni ya kutoka nje.Mnayo inayoweza kuvuta maji kutoka kisima chenye urefu wa zaidi ya mita 100 na inavuta maji kiasi gani kwa litter kwa upepo wa 5m/sTuna mashine ya Windmill water pump, itakusaidia sanaa. Sema garama yake nikubwa sanaaa..
Nasubiri jibuMnatengeneza wenyewe au ni ya kutoka nje.Mnayo inayoweza kuvuta maji kutoka kisima chenye urefu wa zaidi ya mita 100 na inavuta maji kiasi gani kwa litter kwa upepo wa 5m/s
Mkuu hii kuiagiza mpka kuitoa bandari ilikugharimu hyo 700 ama ilikua zaidi? Na je control yake inakuja nayo ama? Na inaitwaje?Niliyonayo inaweza kulift maji hadi 28m so nadhan kama kisima sio kirefu inaweza kufaa pia.![]()
Pump yakutumia SOLAR ni GHALI sana ikiwa unataka kutumia Pump sehemu hakuna Umeme nunua Generator... itakufaa Vinginevyo utataabika tu na Mambo za SolarMkuu hii kuiagiza mpka kuitoa bandari ilikugharimu hyo 700 ama ilikua zaidi? Na je control yake inakuja nayo ama??
Na inaitwaje? Swali jingie je submisible water pumps ndo hizo solar water pumps manake mie nahitaj lakni kila nikitembea kutafuta madukan na mtandaoni nakutana na submisible water pumps lakn madukani ya hapa bongo ni bei ghali sana msaada wako mkuu tafadhal
Pls naomba utume picha ya pump yako uliyofunga na unatumiaKama upo karibu na chanzo cha maji. Agiza mashine ya solar toka china. Max ni 700000 mpaka inafika. Solar panel yake ni 120w inatosha kumwagilizia zaidi ya ekar 4 kwa siku. Mimi ninayo moja natumia.
Pump yakutumia SOLAR ni GHALI sana ikiwa unataka kutumia Pump sehemu hakuna Umeme nunua Generator... itakufaa Vinginevyo utataabika tu na Mambo za Solar
Kama upo karibu na chanzo cha maji. Agiza mashine ya solar toka china. Max ni 700000 mpaka inafika. Solar panel yake ni 120w inatosha kumwagilizia zaidi ya ekar 4 kwa siku. Mimi ninayo moja natumia.
Mfumo mzima wa umwagiliziaji unahitaji vifaa gani? Unaweza kuviorodhesha hapa Boss?Kama upo karibu na chanzo cha maji. Agiza mashine ya solar toka china. Max ni 700000 mpaka inafika. Solar panel yake ni 120w inatosha kumwagilizia zaidi ya ekar 4 kwa siku. Mimi ninayo moja natumia.
Mkuu unaweza kuorodhesha "accessories" zote zilizopo kwenye huo mfumo wa umwagiliaji kwa kutumia umeme wa jua, pamoja na gharama zake kwa sasa?Solar water pump ndiyo suluhisho bora kwa kilimo cha umwagiliaji kuliko generator ya kutumia mafuta.
Kipenyo cha nchi 3 ni 350,000/ mpira wa 100 metres ni 180,000/ koromeo ni 18,000/mashine ni utunzaji sako.ok.. je hiyo pump ya petrol ina tija maana ni bustani kwa ajili ya biashara.. je gharama yake ya kuinunua na utumiaji wake wa mafuta ukoje?