Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaeleza bajeti yako ya pump na details za shamba lako. Mashine ziko za aina nyingi, ni vema uweke maelezo zaidi ya mahitaji yako ili upewe ushauri unaokufaa zaidi.Habarini wana jamvi, natafuta mashine ya kumwagilia water pump, inayotumia mafuta na petroli, (IWE MPYA)
Kwa mwenye nayo au anafahamu wapi naweza pata, naomba an pm natanguliza shukrani
Mkuu hata mimi mwanzoni nilikua napima uwezo wa water pump kwa HP, utakuja kupoteza hela. Haujatoa bajeti wala details za shamba ila nakushauri hivyo hivyo. Fuata kampuni zinazofahamika za water pumps utapata pump ya uwezo kulingana na shamba lako. Pump za kununua kariakoo zinaweza kuwa na HP unayoitaka ila zisifikishe maji unakotaka.mashine ya kawaida, HP 7.0, inayotumia GESI na PETROLI,
Yaani ushauri wangu mkubwa ni usinunue pump bila kupewa ushuhuda na mtu mwenye shamba la aina yako au anayezijua sana hizo pump. Hapo kwenye gesi na petroli sijakuelewa vizuri. Mimi binafsi nazijua pump za petroli, diesel, umeme na solar. Za gesi kama zipo huenda ni option nzuri.mashine ya kawaida, HP 7.0, inayotumia GESI na PETROLI,
Zipo mkuu ni toleo jipya,Yaani ushauri wangu mkubwa ni usinunue pump bila kupewa ushuhuda na mtu mwenye shamba la aina yako au anayezijua sana hizo pump. Hapo kwenye gesi na petroli sijakuelewa vizuri. Mimi binafsi nazijua pump za petroli, diesel, umeme na solar. Za gesi kama zipo huenda ni option nzuri.
nakushukur mkuu kwa ushauri ntafanya hivyoMkuu hata mimi mwanzoni nilikua napima uwezo wa water pump kwa HP, utakuja kupoteza hela. Haujatoa bajeti wala details za shamba ila nakushauri hivyo hivyo. Fuata kampuni zinazofahamika za water pumps utapata pump ya uwezo kulingana na shamba lako. Pump za kununua kariakoo zinaweza kuwa na HP unayoitaka ila zisifikishe maji unakotaka.
mkuu shamba langu lipo karbu sana na mto, na pana kama eka 5 tu so nahitaji mashine ya kawaida, bei zake huwa zinaanzia 280,000 - 400,000 hii hutegemeana na uwezo, na kampuni husika, mfano, honda, boss ,king max, warriol nk!Mkuu hata mimi mwanzoni nilikua napima uwezo wa water pump kwa HP, utakuja kupoteza hela. Haujatoa bajeti wala details za shamba ila nakushauri hivyo hivyo. Fuata kampuni zinazofahamika za water pumps utapata pump ya uwezo kulingana na shamba lako. Pump za kununua kariakoo zinaweza kuwa na HP unayoitaka ila zisifikishe maji unakotaka.
Si utajenga pia mnara wa kupandisha maji juu? Maana kama unaweka drip irrigation pengine utayaingiza kwanza juu kwenye tank halafu yashuke yenyewe kwa gravity.mkuu shamba langu lipo karbu sana na mto, na pana kama eka 5 tu so nahitaji mashine ya kawaida, bei zake huwa zinaanzia 280,000 - 400,000 hii hutegemeana na uwezo, na kampuni husika, mfano, honda, boss ,king max, warriol nk!