Mashine ya kunyanyulia manyonyo

Mashine ya kunyanyulia manyonyo

yanyanyue kwa sidiria.............................khalafu akitaka yaliyolala atakutana nayo kitandani tu...............
shida ni kuwa yanahitajika kitandani yawe yamenyanyanyuka, mchina bado atafanya biznez
 
Utayanyanyua kwa muonekana halafu mwanaume utataka Madogo

Maana hanauzoefu wa kucheza na mipira mikubwa
 
Ni vzr umuone mtu akiwa vile alivyo na kumpenda jinsi alivyo kuliko kuvutiwa na hayo maurembo ya bandia halafu akivua nguo unakuta na vituko. Sipendi! :thinking:
 
kwa kweli wachina noma.niliiona hiyo mashine,wacha nicheke.ziwa linyanyuka kwa muda tu,baadae linarudi vile vile.ipo nyengine ya kunyanyua nanililu ya kike.hapo hapo inaumuka kama iliyotiwa hamira.kazi ipo

....mmmmhhhh.... kazi ipo
 
hahahaaaa kisukari umenichomoa mbavu zangu. Yani lina stenda ap baadae lina siti dau. Tehe tehe
 
I just like myself, i, and who iam soooo much. . iam just playing with my stomach part only! lisiwe kubwa sana! every part is just medium and perfect dont dig huge boobs even if you like lol. .
 
Hello jamani. Mmmh wachina bwana. hebu wanawake tushtuke jamani, ujue wanaume wetu hawako specific nn wanapenda kwetu. tuTANYANYUA MATITI WATATATAKA YALIO LALA. ..............

ﺲﺠﺒﺴﺟﺪﺳﺪﺷ ﺱﺪﺻ ﺲﺠﺴﻨﻄﺳ.‎ sawa?‎
 
kwa kweli wachina noma.niliiona hiyo mashine,wacha nicheke.ziwa linyanyuka kwa muda tu,baadae linarudi vile vile.ipo nyengine ya kunyanyua nanililu ya kike.hapo hapo inaumuka kama iliyotiwa hamira.kazi ipo

kisukari umevunja mbavu zangu kwa comment yako. Vipi mashine ya kuunganisha mbavu nitapata?
 
sasa huyo mwanaume anayeamini maziwa yataendelea kulala milele ni nani? kama tunazaa na kunyonyesha ...du mie siufanyii mwili wangu matengenezo ya aina yoyote zaidi ya kujiweka fit kwa mazoezi..mengineyo naaw.
 
sasa mlitegemea kama yameanguka,tutembee hivyo hivyo na kandambili zetu???.....nayapiga jeki na wonder bra ...ukinifunua ukikuta sivyo ulivyotegemea,uamuzi ni wako utajiju....ila sizunguki na kandambili mie.....
 
Back
Top Bottom