Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa.
Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa kampuni nzuri ya mashine ya kunyolea kwa matumizi ya familia yangu tu.
Ningependa kujua haya1.Bei yake
2Jina la kampuni husika
3.inakopatikana.
Na hata nikipata picha na mbinu ya kuitambua itakua poa.