Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Km nywele umezichoka si uende saluni bei buku mbili Tu?Nipo hapa pia nasubiri mwongozo..
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa.
Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa kampuni nzuri ya mashine ya kunyolea kwa matumiz ya familia yangu tu .
Ningependa kujua haya1.Bei yake
2Jina la kampuni husika
3.inakopatikana .
Na hata nikipata picha na mbinu ya kuitambua itakua poa
Hilo sio jibu nina mi beard treamer mwaka wa pili haina shidaUkipata mchina umepigwa
Nisaidie ka picha plzTafuta WAHL utakuwa umemaliza kazi.
Kwa matumizi ya nyumbani WAHL HOMECUT .
bei yake 100,000 hadi 120,000
Nataka nijisavie mwenyewe mkuuKm nywele umezichoka si uende saluni bei buku mbili Tu?
Ni muhimu sana kuwa na mashine yako mwenyewe hata kama huwezi kuitumia kwaajili ya familia yako, basi mwanafamilia akienda saluni anaenda nayo.Nataka nijisavie mwenyewe mkuu
Bila shaka ni WAHL 200nilikamata Wahl ya 150k,
ngoma ni mkataba
ewaaBila shaka ni WAHL 200
Uliipata wapi kiongoziewaa
Ni kwa ajili ya kunyolea ndevu, sio naniliu kipenzi...Nipo hapa pia nasubiri mwongozo..
Helo guyz naiman hapa ni jukwaa la lenye watu wengi wa kada tofauti na ujuzi tofauti ilatunashea ujuzi wa kisayansi na kiteknolojia apa.
Ninahitaji kupewa ushauri / kupewa mchanganuo pia wa kampuni nzuri ya mashine ya kunyolea kwa matumiz ya familia yangu tu .
Ningependa kujua haya1.Bei yake
2Jina la kampuni husika
3.inakopatikana .
Na hata nikipata picha na mbinu ya kuitambua itakua poa
skumbuki duka ila from zoom, ilifanyiwa deliveryUliipata wapi kiongozi