Mashine ya kunyolea

HOMECUT ndio Brand ya uhakika ,ipo kitambo sana kwenye market.

Homecut sio heavy duty, yaani haifai kwa biashara labda kwa matumizi ya familia.

Pia homecut zipo za brand tofauti kama vile
-Wahl homecut --hii ni bora kama utapata OG.
-Kemei homecut -- hii ni ngetwa
 
Homecut sio heavy duty, yaani haifai kwa biashara labda kwa matumizi ya familia.

Pia homecut zipo za brand tofauti kama vile
-Wahl homecut --hii ni bora kama utapata OG.
-Kemei homecut -- hii ni ngetwa
Ngetwa ndo nini mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…