King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
HOMECUT ndio Brand ya uhakika ,ipo kitambo sana kwenye market.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwasiliane nikuelekezeUliipata wapi kiongozi
Sasa hapa hatuwasilian?Tuwasiliane nikuelekeze
Mi natafuta nose trimmer, brand gani nzuri?Andis 250,000
Wahli 150,000
Remington 100,000
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Hivi zipo ambazo ni rechargeable hata umeme ukikatika naendelea kutumia?View attachment 1879390
HII INAPATIKANA KARIAKOO KWA TZS. 100,000/.
MIMI NIMENUNUA HIVI KARIBUNI, INAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA SALUNI.
Nose treamer chukua za xiaom ziko poa sana zina tofautiana beiMi natafuta nose trimmer, brand gani nzuri?
Picha mau link mkuu naomba.Nose treamer chukua za xiaom ziko poa sana zina tofautiana bei
Rechargeable zipo za Phillips, bei kuanzia TZS 180,000 and aboveHivi zipo ambazo ni rechargeable hata umeme ukikatika naendelea kutumia?
Hizi hapa sheikhePicha mau link mkuu naomba.
Mkuu wewe Una nywele za kusuka sasa mashine ya nnNataka nijisavie mwenyewe mkuu
Mkuu hii OG kweli?, super taper kwa 100,000 nina wasiwasiView attachment 1879390
HII INAPATIKANA KARIAKOO KWA TZS. 100,000/.
MIMI NIMENUNUA HIVI KARIBUNI, INAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI NA SALUNI.
😂😂 mi nataka ya kunyolea nywele za kichwanii siyo naniliuuNi kwa ajili ya kunyolea ndevu, sio naniliu kipenzi...
Kwenye kinini hapo😂😂🙌 mi sisuki nataka niwe najinyoa kichwanii 😀Mkuu wewe Una nywele za kusuka sasa mashine ya nn
Kwenye kinena inaumiza sn,na kwapani inatekenya kishenzi,utaishia kucheka Tu wakati unajinyoa
HOMECUT ndio Brand ya uhakika ,ipo kitambo sana kwenye market.
Ngetwa ndo nini mkuu?Homecut sio heavy duty, yaani haifai kwa biashara labda kwa matumizi ya familia.
Pia homecut zipo za brand tofauti kama vile
-Wahl homecut --hii ni bora kama utapata OG.
-Kemei homecut -- hii ni ngetwa
Kwani kipenzi, naniliu unanyolea nini sasa?😂😂 mi nataka ya kunyolea nywele za kichwanii siyo naniliuu
Wahl zinatoka nchi Gani?Nilikamata Wahl ya 150k,
ngoma ni mkataba