Mashine ya kupasulia mbao

Mashine ya kupasulia mbao

Devla

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
74
Reaction score
13
wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
 
Zinapatikana.
Anahitaji ya ukubwa gani?
 
Sijakusoma vizuri mkuu. Unataka mashine ipi hasa make kuna za mkono ambazo huitwa chainsaw na zile ambazo ni heavy duty ambazo hulazimu kujenga karakana na hutumia umeme/fuel.
Na hapa kiswahili fasaha ni "kuchana mbao au kupasua mbao"? nawaachia wataalam.
 
wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
mbona makete wapo kibao wanaochana mbao kwa mashine? Na wengi wananunua izi mashine za kusaga then wanaunga na msumeno afu kitu mzigoni. But kwa sasa cdhani kama itamlipa kwani miti imepungua sana na bei ipo juu.....
 
Mkuu Albimany chainsaw inatumia petrol, 2T na Oil. Kama unahtaji mi ninayo husqvarna series365 from Canada, ndiyo series ya mwisho kwa chainsaw maarufu zitumikazo Bongo. Nitakuuzia kwa 1000k, nimeitumia miezi mitatu tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Albimany chainsaw inatumia petrol, 2T na Oil. Kama unahtaji mi ninayo husqvarna series365 from Canada, ndiyo series ya mwisho kwa chainsaw maarufu zitumikazo Bongo. Nitakuuzia kwa 1000k, nimeitumia miezi mitatu tu.
mpya dukani ni bei gani na uliinunua duka gani na wapi? kama hutojali....
 
mbona makete wapo kibao wanaochana mbao kwa mashine? Na wengi wananunua izi mashine za kusaga then wanaunga na msumeno afu kitu mzigoni. But kwa sasa cdhani kama itamlipa kwani miti imepungua sana na bei ipo juu.....

mkuu miti imeisha njiani. kuna vijiji huko ndani ndani wanatoa 1×12' huwezi kuamini.BTW hii biashara imeinua vijana wengi sana wilaya ile
 
Back
Top Bottom