Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
mbona makete wapo kibao wanaochana mbao kwa mashine? Na wengi wananunua izi mashine za kusaga then wanaunga na msumeno afu kitu mzigoni. But kwa sasa cdhani kama itamlipa kwani miti imepungua sana na bei ipo juu.....wadau nina kaka yangu yupo makete anataka mashine ya kupasulia mbao mwenye taarifa zinakopatikana kwa mkoa wa mbeya au dar na bei zake
Nina chainsaw yangu mpya naiuza..ni pm
mpya dukani ni bei gani na uliinunua duka gani na wapi? kama hutojali....Mkuu Albimany chainsaw inatumia petrol, 2T na Oil. Kama unahtaji mi ninayo husqvarna series365 from Canada, ndiyo series ya mwisho kwa chainsaw maarufu zitumikazo Bongo. Nitakuuzia kwa 1000k, nimeitumia miezi mitatu tu.
mbona makete wapo kibao wanaochana mbao kwa mashine? Na wengi wananunua izi mashine za kusaga then wanaunga na msumeno afu kitu mzigoni. But kwa sasa cdhani kama itamlipa kwani miti imepungua sana na bei ipo juu.....