ntakisigae
Senior Member
- Nov 26, 2013
- 186
- 66
Mashine ni mpya kabisa,haijatumika.
Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani ,maofisini,majumbani.
Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji.
Ina ujazo wa lita 20 na inatumia petroli.
Ina vifaa vya kujikinga kama,miwani,na barakoa.
Bei ni 230000/=
Mashine ipo Mkuranga,Pwani,lakini,inaweza kutumwa ulipo bila shaka.
Mawasiliano:0685381338