Mashine ya kusaga, kukoboa mahindi na mpunga

Joined
Oct 14, 2018
Posts
66
Reaction score
63
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.

Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na zinavyolipa.

Nipo kwenye kijiji ambacho hakina mashine ya uhakika kabisa ya huduma hiyo.

Naombeni mwenye taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sido milioni sita unapata complete kinu na mota ama watafute auto sokoni .wanabranch iringa na dar
 
Nicheki mkuu 0658438825
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.

Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na zinavyolipa.

Nipo kwenye kijiji ambacho hakina mashine ya uhakika kabisa ya huduma hiyo.

Naombeni mwenye taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2020-03-17-15-14-14-1.jpeg
IMG_20200303_092420_101.jpeg
Screenshot_2020-02-19-21-51-04-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.

Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na zinavyolipa.

Nipo kwenye kijiji ambacho hakina mashine ya uhakika kabisa ya huduma hiyo.

Naombeni mwenye taarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo boss. picha ina maelezo
PhotoGrid_1583473320766.jpeg

.
 
Back
Top Bottom