Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 63
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.
Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na zinavyolipa.
Nipo kwenye kijiji ambacho hakina mashine ya uhakika kabisa ya huduma hiyo.
Naombeni mwenye taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app