Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 63
OK mkubwa kwa taarifaSido milioni sita unapata complete kinu na mota ama watafute auto sokoni .wanabranch iringa na dar
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.
Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na zinavyolipa.
Nipo kwenye kijiji ambacho hakina mashine ya uhakika kabisa ya huduma hiyo.
Naombeni mwenye taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo boss. picha ina maelezoAsalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo.